|
While the Kamusi Project is truly a product of a very large community,
we at Yale have been proud to help seed and develop it over the years.
The Council on African Studies, Yale Program in African Languages and
the MacMillan Center of Yale University look forward to continuing our
collaboration with Kamusi and its many supporters as it thrives and
grows in its new home. |
Jamii ya
mradi wa Kamusi ni kubwa mno nasi hapa Yale tunajivunia kwa kupanda
mbegu yake na kusaidia kuilea na kuikuza. Baraza la Masomo ya Kiafrika,
Kipindi cha Yale katika Lugha za Kiafrika na kituo cha MacMillan katika
chuo kikuu cha Yale twanuia kuendeleza ushirikiano wetu na Kamusi na
wapungiaji mikono wake wengi wanapoendelea kuwa na kunawiri katika
nyumba yake mpya. |